- File Size 2.61 MB
- Last Updated February 21, 2025
Bungoma Women Manifesto Kiswahili Version
Manifesto ya Wanawake wa Bungoma inaelekezwa kwa Kamati Tendaji ya Kaunti, Bunge la Kaunti, Watoa Maamuzi/Watunzi wa Sera, Wanaowajibika, Matawi ya Vyama vya Kisiasa na viongozi waliochaguliwa na kuteuliwa na Mashirika ya Kiraia. Mwitikio wao Bora kwa matakwa yaliyo katika Manifesto ya Wanawake utahakikisha kutendewa kwa usawa na ushiriki sawa na uwakilishi wa wanawake na wanaume katika uongozi wa kaunti, michakato ya maendeleo ya utawala.