- File Size 3.34 MB
- Last Updated February 21, 2025
Vihiga Women Manifesto Kiswahili Version
Manifesto ni hati ya kisiasa. Ni chombo cha ushawishi na utetezi ambacho Asasi za Kiraia, zisizo za serikali zinaweza kutumia kufuatilia na kutoa wito wa uwajibikaji kutoka kwa serikali. Kwa hivyo, basi, Manifesto inakuwa chombo cha kutafuta hatua za kisiasa. Ni mwongozo wa harakati kamilifu ya wanawake. Inaweka ajenda ya wanawake katika maisha yote ya kijamii, kiuchumi, kiutamaduni na kisiasa.